Isaiah 40:5
Utukufu wa Bwana utafunuliwa, 2 nao wanadamu wote watauona pamoja. 4 Kwa maana kinywa cha Bwana kimenena.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 72:19Jina lake tukufu lisifiwe milele, 2 ulimwengu wote ujae utukufu wake. Amen na Amen. 1
Psalms 97:6Mbingu zinatangaza haki yake, 2 na mataifa yote huona utukufu wake. 1
Psalms 102:17Ataitikia maombi ya mtu mkiwa, 2 wala hatadharau hoja yao. 1
Isaiah 6:3Nao walikuwa wakiitana kila mmoja na mwenzake: 1 “Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu 2 ni Bwana Mwenye Nguvu Zote; 2 dunia yote imejaa utukufu wake.”
Isaiah 26:15Umeliongeza hilo taifa, Ee Bwana, 2 umeliongeza hilo taifa. 1 Umejipatia utukufu kwa ajili yako mwenyewe, 2 umepanua mipaka yote ya nchi. 1
Isaiah 35:2litachanua maua, 2 litashangilia sana na kupaza sauti kwa furaha. 1 Litapewa utukufu wa Lebanoni, 2 fahari ya Karmeli na Sharoni; 1 wataona utukufu wa Bwana, 2 fahari ya Mungu wetu. 1