Isaya 58:1
“Piga kelele, usizuie. 2 Paza sauti yako kama tarumbeta. 1 Watangazieni watu wangu uasi wao, 2 na kwa nyumba ya Yakobo dhambi zao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 40:9Nimehubiri haki katika kusanyiko kubwa, 2 sikufunga mdomo wangu, 2 Ee Bwana, kama ujuavyo. 1
Isaiah 40:6Sauti husema, “Piga kelele.” 2 Nami nikasema, “Nipige kelele gani?” 1 “Wanadamu wote ni kama majani, 2 nao utukufu wao wote 2 ni kama maua ya kondeni. 1
Isaiah 56:10Walinzi wa Israeli ni vipofu, 2 wote wamepungukiwa na maarifa; 1 wote ni mbwa walio bubu, 2 hawawezi kubweka; 1 hulala na kuota ndoto, 2 hupenda kulala. 1
Jeremiah 1:17“Jiandae! Simama useme chochote nitakachokuamuru. Usiwaogope, la sivyo nitakufanya uwaogope wao.
Jeremiah 15:19Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Kama ukitubu, nitakurejeza 2 ili uweze kunitumikia; 1 kama ukinena maneno yenye maana, 2 wala si ya upuzi, 2 utakuwa mnenaji wangu. 1 Watu hawa ndio watakaokugeukia, 2 wala si wewe utakayewageukia wao. 1
Ezekiel 2:3Akaniambia: “Mwanadamu, ninakutuma kwa Waisraeli, kwa taifa asi ambalo limeniasi mimi, wao na baba zao wananikosea mimi hadi leo.