Isaya 41:20
ili kwamba watu wapate kuona na kujua, 2 wapate kufikiri na kuelewa, 1 kwamba mkono wa Bwana umetenda hili, 2 kwamba yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli ndiye alilifanya.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Bwana asema, “Leta shauri lako. 2 Toa hoja yako,” asema Mfalme wa Yakobo. 1
Cross References
Exodus 9:16Lakini nimekuinua wewe kwa kusudi hili hasa, ili nipate kukuonyesha uwezo wangu, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.
Job 12:9Ni nani miongoni mwa hawa wote asiyejua 2 kwamba mkono wa Bwana ndio uliofanya hili? 1
Isaiah 28:29Haya yote pia hutoka kwa Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 mwenye mashauri ya ajabu, na anayepita wote kwa hekima.
Isaiah 43:7kila mmoja ambaye ameitwa kwa Jina langu, 2 niliyemuumba kwa utukufu wangu, 2 niliyemhuluku na kumfanya.” 1
Isaiah 44:23Enyi mbingu, imbeni kwa furaha, 2 kwa maana Bwana amefanya jambo hili. 2 Ee vilindi vya dunia, piga kelele. 1 Enyi milima, pazeni sauti kwa nyimbo, 2 enyi misitu na miti yenu yote, 1 kwa maana Bwana amemkomboa Yakobo, 2 ameuonyesha utukufu wake katika Israeli. 1 Yerusalemu Kukaliwa 1
Isaiah 66:2Je, mkono wangu haukufanya vitu hivi vyote, 2 hivyo vikapata kuwepo?” 4 asema Bwana. 1 “Mtu huyu ndiye ninayemthamini: 2 yeye ambaye ni mnyenyekevu 1 na mwenye roho yenye toba, 2 atetemekaye asikiapo neno langu. 1