The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 41 › Isaiah 41:24

Isaiah 41:24

Lakini ninyi ni zaidi ya bure kabisa, 2 na kazi zenu hazifai kitu kabisa; 2 yeye awachaguaye ni chukizo sana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, ye are of nothing, and your work of nought: an abomination is he that chooseth you.

In Context

23tuambieni ni nini kitakachotokea baadaye, 2 ili tupate kujua kuwa ninyi ni miungu. 1 Fanyeni jambo lolote zuri au baya, 2 ili tupate kutishika na kujazwa na hofu. 1

25“Nimemchochea mtu mmoja kutoka kaskazini, 2 naye yuaja, mmoja toka mawio ya jua aliitaye Jina langu. 1 Huwakanyaga watawala kana kwamba ni matope, 2 kama mfinyanzi akanyagavyo udongo wa kufinyangia. 1

Read all of Isaiah 41

Cross References

Deuteronomy 7:25Vinyago vya miungu yao mtavichoma moto. Msitamani fedha wala dhahabu iliyo juu yao, wala msizichukue kwa ajili yenu, la sivyo mtakuwa mmetekwa navyo. Kwa kuwa ni chukizo kwa Bwana Mungu wenu.

Deuteronomy 27:15“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

Isaiah 37:19Wameitupa miungu yao kwenye moto na kuiangamiza, kwa kuwa haikuwa miungu, bali miti na mawe tu, iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.

Isaiah 44:9Wote wachongao sanamu ni ubatili, 2 navyo vitu wanavyovithamini havifai kitu. 1 Wale ambao wanazitetea ni vipofu, 2 ni wajinga, nao waaibika. 1

Jeremiah 10:8Wote hawana akili, tena ni wapumbavu, 2 wanafundishwa na sanamu za miti zisizofaa lolote. 1

Jeremiah 51:17“Kila mtu ni mjinga na hana maarifa; 2 kila sonara ameaibishwa na sanamu zake. 1 Vinyago vyake ni vya udanganyifu, 2 havina pumzi ndani yavyo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 41:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 41:23Isaiah 41Isaiah 41:25 →