Isaiah 37:19
Wameitupa miungu yao kwenye moto na kuiangamiza, kwa kuwa haikuwa miungu, bali miti na mawe tu, iliyotengenezwa kwa mikono ya wanadamu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18“Ni kweli, Ee Bwana, kwamba wafalme wa Ashuru wameyaangamiza mataifa haya yote pamoja na nchi zao.
Cross References
2 Samuel 5:21Wafilisti wakaiacha miungu yao huko, naye Daudi na watu wake wakaichukua.
Isaiah 10:7Lakini hili silo analokusudia, 2 hili silo alilo nalo akilini; 1 kusudi lake ni kuangamiza, 2 kuyakomesha mataifa mengi. 1
Isaiah 10:10Kama vile mkono wangu ulivyotwaa falme za sanamu, 2 falme ambazo vinyago vyao vilizidi vile vya Yerusalemu na Samaria: 1
Isaiah 26:14Wao sasa wamekufa, wala hawako tena hai, 2 roho za waliokufa hazitarudi tena. 1 Uliwaadhibu na kuwaangamiza, 2 umefuta kumbukumbu lao lote. 1
Isaiah 40:19Kwa habari ya sanamu, fundi huisubu, 2 naye mfua dhahabu huifunika kwa dhahabu 2 na kuitengenezea mikufu ya fedha. 1
Isaiah 41:24Lakini ninyi ni zaidi ya bure kabisa, 2 na kazi zenu hazifai kitu kabisa; 2 yeye awachaguaye ni chukizo sana. 1