Isaiah 41:7
Fundi humtia moyo sonara, 2 yeye alainishaye kwa nyundo 2 humhimiza yeye agongeaye kwenye fuawe, 1 Humwambia yeye aunganishaye, “Ni kazi njema.” 2 Naye huikaza sanamu kwa misumari ili isitikisike. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6kila mmoja humsaidia mwingine 2 na kusema kwa ndugu yake, “Uwe hodari!” 1
Cross References
Judges 18:24Akawajibu, “Mmechukua miungu yote niliyoitengeneza, mkachukua na kuhani wangu, nanyi mkaondoka. Nimebaki na nini kingine? Mnawezaje kuniuliza, ‘Una nini wewe?’ ”
Isaiah 44:12Muhunzi huchukua kifaa 2 na kukifanyia kazi kwenye makaa ya moto, 1 hutengeneza sanamu kwa nyundo, 2 huifanyiza kwa nguvu za mkono wake. 1 Huona njaa na kupoteza nguvu zake, 2 asipokunywa maji huzimia. 1
Jeremiah 10:3Kwa maana desturi za mataifa hazina maana, 2 wanakata mti msituni, 2 na fundi anauchonga kwa patasi. 1
Daniel 3:1Mfalme Nebukadneza alitengeneza sanamu ya dhahabu, yenye kimo cha dhiraa sitini, + 3:1 Dhiraa sitini ni sawa na mita 27. na upana wa dhiraa sita, + 3:1 Dhiraa sita ni sawa na mita 2.7. akaisimamisha kwenye tambarare ya Dura katika jimbo la nchi ya Babeli.