The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 42 › Isaya 42:15

Isaya 42:15

Nitaharibu milima na vilima 2 na kukausha mimea yako yote; 1 nitafanya mito kuwa visiwa 2 na kukausha mabwawa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will make waste mountains and hills, and dry up all their herbs; and I will make the rivers islands, and I will dry up the pools.

In Context

14“Kwa muda mrefu nimenyamaza kimya, 2 nimekaa kimya na kujizuia. 1 Lakini sasa, kama mwanamke wakati wa kujifungua, 2 ninapiga kelele, ninatweta na kushusha pumzi. 1

16Nitawaongoza vipofu kwenye njia ambayo hawajaijua, 2 kwenye mapito wasiyoyazoea nitawaongoza; 1 nitafanya giza kuwa nuru mbele yao, 2 na kufanya mahali palipoparuza kuwa laini. 1 Haya ndiyo mambo nitakayofanya; 2 mimi sitawaacha. 1

Read all of Isaya 42

Cross References

Psalms 18:7Dunia ilitetemeka na kutikisika, 2 misingi ya milima ikatikisika, 2 vilitetemeka kwa sababu alikuwa amekasirika. 1

Psalms 114:3Bahari ilitazama ikakimbia, 2 Yordani ulirudi nyuma, 1

Isaiah 11:15Bwana atakausha 2 ghuba ya bahari ya Misri; 1 kwa upepo mkavu ataupeleka mkono wake 2 juu ya Mto Frati. 1 Ataugawanya katika vijito saba 2 ili watu waweze kuuvuka wakiwa wamevaa viatu. 1

Isaiah 49:11Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara, 2 na njia kuu zangu zitainuliwa. 1

Jeremiah 4:24Niliitazama milima, nayo ilikuwa ikitetemeka, 2 vilima vyote vilikuwa vikiyumbayumba. 1

Nahum 1:4Anakemea bahari na kuikausha, 2 anafanya mito yote kukauka. 1 Bashani na Karmeli zinanyauka 2 na maua ya Lebanoni hukauka. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 42:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 42:14Isaya 42Isaya 42:16 →