Isaiah 58:2
Kwa maana kila siku hunitafuta, 2 wanaonekana kutaka kujua njia zangu, 1 kana kwamba walikuwa taifa linalotenda lililo sawa, 2 na ambalo halijaziacha amri za Mungu wake. 1 Hutaka kwangu maamuzi ya haki, 2 nao hutamani Mungu awakaribie. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 5:28Bwana aliwasikia wakati mlipozungumza nami, na Bwana akaniambia, “Nimesikia kile hawa watu walichokuambia. Kila kitu walichokisema ni kizuri.
Proverbs 15:8Bwana huchukia sana dhabihu za waovu, 2 bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 1
Isaiah 29:13Bwana anasema: 1 “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao 2 na kuniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1 Ibada yao kwangu inatokana na maagizo 2 waliyofundishwa na wanadamu. 1
Isaiah 48:1“Sikilizeni hili, ee nyumba ya Yakobo, 2 ninyi mnaoitwa kwa jina la Israeli, 2 na mnaotoka katika ukoo wa Yuda, 1 ninyi mnaoapa kwa jina la Bwana, 2 mnaomwomba Mungu wa Israeli, 2 lakini si katika kweli au kwa haki; 1
Jeremiah 42:20kwamba mmefanya kosa kubwa mioyoni mwenu mliponituma kwa Bwana Mungu wenu na kusema, ‘Mwombe Bwana Mungu wetu kwa ajili yetu, nawe utuambie kila kitu atakachosema, nasi tutafanya.’
Ezekiel 33:30“Kwa habari yako wewe, mwanadamu, watu wako wanaongea habari zako wakiwa karibu na kuta na kwenye milango ya nyumba, wakiambiana kila mmoja na mwenzake, ‘Njooni msikie ujumbe ule utokao kwa Bwana.’