Isaya 43:23
Hujaniletea kondoo kwa ajili ya sadaka za kuteketezwa, 2 wala kuniheshimu kwa dhabihu zako. 1 Sikukulemea kwa sadaka za nafaka 2 wala kukuchosha kwa kuhitaji uvumba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22“Hata hivyo hukuniita mimi, ee Yakobo, 2 hujajitaabisha kwa ajili yangu, ee Israeli. 1
Cross References
Leviticus 2:1“ ‘Mtu yeyote aletapo sadaka ya nafaka kwa Bwana, sadaka yake itakuwa ya unga laini. Atamimina mafuta juu yake, aweke uvumba juu yake,
Proverbs 15:8Bwana huchukia sana dhabihu za waovu, 2 bali maombi ya wanyofu humfurahisha Mungu. 1
Isaiah 1:11Bwana anasema, “Wingi wa sadaka zenu, 2 ni kitu gani kwangu? 1 Ninazo sadaka za kuteketezwa nyingi kupita kiasi, 2 za kondoo dume na mafuta ya wanyama walionona. 1 Sipendezwi na damu za mafahali 2 wala za wana-kondoo na mbuzi. 1
Jeremiah 7:22Kwa kuwa nilipowaleta baba zenu kutoka Misri na kusema nao, sikuwapa amri kuhusu sadaka za kuteketezwa na dhabihu tu,
Amos 5:25“Je, mliniletea dhabihu na sadaka 2 kwa miaka arobaini kule jangwani, 2 ee nyumba ya Israeli? 1
Zechariah 7:5“Waulize watu wote wa nchi na makuhani, ‘Je, mlipofunga na kuomboleza katika mwezi wa tano na wa saba kwa miaka sabini iliyopita, mlifunga kweli kwa ajili yangu?