Isaya 44:10
Ni nani atengenezaye mungu na kusubu sanamu, 2 ambayo haiwezi kumfaidia kitu chochote? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Who hath formed a god, or molten a graven image that is profitable for nothing?
In Context
Cross References
1 Kings 12:28Baada ya kutafuta shauri, mfalme akatengeneza ndama wawili wa dhahabu. Akawaambia watu, “Ni gharama kubwa kwenu kukwea kwenda Yerusalemu. Hii hapa miungu yenu, ee Israeli, iliyowapandisha kutoka Misri.”
Isaiah 41:29Tazama, wote ni ubatili! 2 Matendo yao ni bure; 2 vinyago vyao ni upepo mtupu na machafuko.
Jeremiah 10:5Sanamu zao ni kama sanamu 2 iliyowekwa shambani la matango kutishia ndege 2 nazo haziwezi kuongea; 1 sharti zibebwe 2 sababu haziwezi kutembea. 1 Usiziogope; haziwezi kudhuru, 2 wala kutenda lolote jema.” 1
Daniel 3:14naye Nebukadneza akawauliza, “Je, ni kweli kwamba ninyi Shadraki, Meshaki na Abednego hamuitumikii miungu yangu wala kuiabudu sanamu ya dhahabu niliyoisimamisha?
Acts 19:26Pia ninyi mmeona na kusikia jinsi ambavyo si huku Efeso peke yake lakini ni karibu Asia yote, huyu Paulo amewashawishi na kuvuta idadi kubwa ya watu kwa kusema kuwa miungu iliyotengenezwa na watu si miungu.