Isaya 44:11
Yeye pamoja na wenziwe wa aina yake wataaibishwa, 2 mafundi wao si kitu ila ni wanadamu tu. 1 Wote wakusanyike pamoja na kuwa na msimamo wao, 2 watashushwa chini kwa hofu na kwa fedheha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Ni nani atengenezaye mungu na kusubu sanamu, 2 ambayo haiwezi kumfaidia kitu chochote? 1
Cross References
Deuteronomy 4:28Huko mtaabudu miungu ya miti na mawe iliyotengenezwa na watu, ambayo haiwezi kuona au kusikia wala kula au kunusa.
Judges 16:23Basi viongozi wa Wafilisti wakakusanyika pamoja ili kutoa kafara kwa mungu wao Dagoni na kufanya karamu, wakisema, “Mungu wetu amemtia adui yetu Samsoni mikononi mwetu.”
1 Samuel 6:4Wafilisti wakawauliza, “Ni sadaka gani ya hatia tutakayompelekea?” Wakajibu, “Majipu matano ya dhahabu na panya wa dhahabu watano, kulingana na idadi ya watawala wa Wafilisti, kwa sababu tauni iyo hiyo imewaua ninyi na watawala wenu.
1 Kings 18:40Kisha Eliya akawaamuru, “Wakamateni hao manabii wa Baali. Msimwache hata mmoja atoroke!” Wakawakamata, naye Eliya akawaleta mpaka Bonde la Kishoni na kuwachinja huko.
Isaiah 1:29“Mtaaibika kwa sababu ya hiyo mialoni 2 ambayo mlifurahia, 1 mtafadhaika kwa sababu ya bustani 2 mlizozichagua. 1
Isaiah 42:17Lakini wale wanaotumaini sanamu, 2 wanaoviambia vinyago, ‘Ninyi ndio miungu yetu,’ 2 watarudishwa nyuma kwa aibu kubwa. 1 Israeli Kipofu Na Kiziwi 1