The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 41 › Isaiah 41:29

Isaiah 41:29

Tazama, wote ni ubatili! 2 Matendo yao ni bure; 2 vinyago vyao ni upepo mtupu na machafuko.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, they are all vanity; their works are nothing: their molten images are wind and confusion.

In Context

28Ninatazama, lakini hakuna yeyote: 2 hakuna yeyote miongoni mwao awezaye kutoa shauri, 2 hakuna yeyote wa kutoa jibu wakati ninapowauliza. 1

Read all of Isaiah 41

Cross References

1 Samuel 12:21Msigeukie sanamu zisizofaa. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.

Psalms 115:4Lakini sanamu zao ni za fedha na dhahabu, 2 zilizotengenezwa kwa mikono ya wanadamu. 1

Isaiah 41:24Lakini ninyi ni zaidi ya bure kabisa, 2 na kazi zenu hazifai kitu kabisa; 2 yeye awachaguaye ni chukizo sana. 1

Isaiah 46:7Huiinua mabegani na kuichukua; 2 huiweka mahali pake, papo hapo ndipo isimamapo. 2 Wala haiwezi kusogea kutoka mahali pale. 1 Ingawa mtu huililia, haimjibu; 2 haiwezi kumwokoa kwenye taabu zake. 1

Jeremiah 10:2Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Usijifunze njia za mataifa 2 wala usitishwe na ishara katika anga, 2 ingawa mataifa yanatishwa nazo. 1

Zechariah 10:2Sanamu huzungumza udanganyifu, 2 waaguzi huona maono ya uongo; 1 husimulia ndoto ambazo si za kweli, 2 wanatoa faraja batili. 1 Kwa hiyo watu wanatangatanga kama kondoo 2 walioonewa kwa kukosa mchungaji. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 41:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 41:28Isaiah 41