The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 44 › Isaiah 44:2

Isaiah 44:2

Hili ndilo asemalo Bwana, 2 yeye aliyekuhuluku, aliyekuumba tumboni, 2 yeye atakayekusaidia: 1 Usiogope, ee Yakobo, mtumishi wangu, 2 Yeshuruni, + 44:2 Yeshuruni hapa maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 32:15 ). niliyekuchagua. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD that made thee, and formed thee from the womb, which will help thee; Fear not, O Jacob, my servant; and thou, Jesurun, whom I have chosen.

In Context

1“Lakini sasa sikiliza, ee Yakobo, mtumishi wangu, 2 Israeli, niliyemchagua. 1

3Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, 2 na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; 1 nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako, 2 nayo baraka yangu juu ya wazao wako. 1

Read all of Isaiah 44

Cross References

Deuteronomy 32:15Yeshuruni + 32:15 Yeshuruni maana yake ni Yeye aliye mnyofu, yaani Israeli (ona pia Kum 33:26; Isa 44:2 ). alinenepa na kupiga teke; 2 alikuwa na chakula tele, 2 akawa mzito na akapendeza sana. 1 Akamwacha Mungu aliyemuumba, 2 na kumkataa Mwamba Mwokozi wake. 1

Psalms 46:5Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, 2 Mungu atausaidia asubuhi na mapema. 1

Psalms 95:6Njooni, tusujudu, tumwabudu, 2 tupige magoti mbele za Bwana Muumba wetu, 1

Isaiah 41:14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu, 2 ee Israeli uliye mdogo, 1 kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,” asema Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 43:5Usiogope, kwa kuwa mimi nipo pamoja nawe, 2 nitawaleta watoto wako kutoka mashariki, 2 na kukukusanya kutoka magharibi. 1

Isaiah 43:21watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, 2 ili wapate kutangaza sifa zangu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 44:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 44:1Isaiah 44Isaiah 44:3 →