Isaiah 44:20
Hujilisha kwa majivu, moyo uliodanganyika humpotosha; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe, au kusema, 2 “Je, kitu hiki kilichoko katika mkono wangu wa kuume si ni uongo?” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 22:20Naye Bwana akasema, ‘Ni nani atakayemshawishi Ahabu ili aishambulie Ramoth-Gileadi na kukiendea kifo chake huko?’ “Mmoja akapendekeza hili na mwingine lile.
Job 15:31Asijidanganye mwenyewe kutumainia ubatili, 2 kwa kuwa hatapata malipo yoyote. 1
Proverbs 15:14Moyo wa mwenye ufahamu hutafuta maarifa, 2 bali kinywa cha mpumbavu hujilisha upumbavu. 1
Isaiah 59:3Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu 2 na vidole vyenu kwa hatia. 1 Midomo yenu imenena uongo, 2 nazo ndimi zenu zimenongʼona mambo maovu. 1
Jeremiah 16:19Ee Bwana, nguvu zangu na ngome yangu, 2 kimbilio langu wakati wa taabu, 1 kwako mataifa yatakujia 2 kutoka miisho ya dunia na kusema, 1 “Baba zetu hawakuwa na chochote zaidi ya miungu ya uongo, 2 sanamu zisizofaa kitu 2 ambazo hazikuwafaidia lolote. 1
Hosea 12:1Efraimu anajilisha upepo; 2 hufukuzia upepo wa mashariki kutwa nzima 2 na kuzidisha uongo na jeuri. 1 Anafanya mkataba na Ashuru 2 na kutuma mafuta ya zeituni Misri. 1