The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 44 › Isaya 44:19

Isaya 44:19

Hakuna anayefikiri, 2 hakuna mwenye maarifa wala ufahamu wa kusema, 1 “Sehemu yake nilitumia kwa kuni; 2 hata pia nilioka mkate juu ya makaa yake, 2 nikabanika nyama na kuila. 1 Je, nifanye machukizo kwa kile kilichobaki? 2 Je, nisujudie gogo la mti?” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And none considereth in his heart, neither is there knowledge nor understanding to say, I have burned part of it in the fire; yea, also I have baked bread upon the coals thereof; I have roasted flesh, and eaten it: and shall I make the residue thereof an abomination? shall I fall down to the stock of a tree?

In Context

18Hawajui chochote, hawaelewi chochote, 2 macho yao yamefungwa hata hawawezi kuona, 2 akili zao zimefungwa hata hawawezi kufahamu. 1

20Hujilisha kwa majivu, moyo uliodanganyika humpotosha; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe, au kusema, 2 “Je, kitu hiki kilichoko katika mkono wangu wa kuume si ni uongo?” 1

Read all of Isaya 44

Cross References

Exodus 7:23Badala yake, Farao akageuka, akaenda kwenye jumba lake la kifalme, wala hakulitia hili moyoni.

Deuteronomy 32:46akawaambia, “Yawekeni moyoni maneno yote ambayo nimewatangazia kwa makini siku hii ya leo, ili kwamba mpate kuwaagiza watoto wenu wayatii kwa bidii maneno yote ya sheria hii.

1 Kings 11:7Kwenye kilima mashariki mwa Yerusalemu, Solomoni akajenga mahali pa juu kwa ajili ya Kemoshi chukizo la Wamoabu, na kwa Moleki mungu chukizo la Waamoni.

Isaiah 5:13Kwa hiyo watu wangu watakwenda uhamishoni 2 kwa sababu ya kukosa ufahamu, 1 watu wao wenye vyeo watakufa kwa njaa 2 na watu wao wengi watakauka kwa kiu. 1

Isaiah 46:8“Kumbukeni hili, litieni akilini, 2 liwekeni moyoni, enyi waasi. 1

Hosea 7:2lakini hawafahamu kwamba 2 ninakumbuka matendo yao yote mabaya. 1 Dhambi zao zimewameza, 2 ziko mbele zangu siku zote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 44:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 44:18Isaya 44Isaya 44:20 →