Isaya 44:27
niambiaye kilindi cha maji, ‘Kauka, 2 nami nitakausha vijito vyako,’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
That saith to the deep, Be dry, and I will dry up thy rivers:
In Context
Cross References
Genesis 8:1Mungu akamkumbuka Noa na wanyama wote wa porini na wa kufugwa waliokuwa naye ndani ya safina, akatuma upepo ukavuma katika dunia, nayo maji yakaondoka.
Psalms 74:15Ni wewe uliyefungua chemchemi na vijito, 2 ulikausha mito ambayo ilikuwa ikitiririka daima. 1
Isaiah 42:15Nitaharibu milima na vilima 2 na kukausha mimea yako yote; 1 nitafanya mito kuwa visiwa 2 na kukausha mabwawa. 1
Isaiah 50:2Nilipokuja, kwa nini hakuwepo hata mmoja? 2 Nilipoita, kwa nini hakuwepo hata mmoja wa kujibu? 1 Je, mkono wangu ni mfupi mno hata nisiweze kuwakomboa? 2 Je, mimi sina nguvu za kukuokoa? 1 Kwa kukemea tu naikausha bahari, 2 naigeuza mito ya maji kuwa jangwa; 1 samaki wake wanaoza kwa kukosa maji 2 na kufa kwa ajili ya kiu. 1
Isaiah 63:12aliyetuma mkono wake uliotukuka wenye nguvu 2 kuwa katika mkono wa kuume wa Mose, 1 aliyegawa maji ya bahari mbele yao, 2 ili kujipatia jina milele, 1
Jeremiah 51:32Vivuko vya mito vimekamatwa, 2 mabwawa yenye mafunjo yametiwa moto, 2 nao askari wameingiwa na hofu kuu.”