Isaiah 44:4
Nao watachipua kama manyasi katika shamba la majani, 2 kama mierezi kando ya vijito vya maji yatiririkayo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they shall spring up as among the grass, as willows by the water courses.
In Context
Cross References
Leviticus 23:40Siku ya kwanza mtachukua matunda mazuri ya miti, matawi ya mitende, matawi yenye majani mengi, na matawi ya mirebi, nanyi mtashangilia mbele za Bwana Mungu wenu kwa siku saba.
Psalms 1:3Mtu huyo ni kama mti uliopandwa 2 kando ya vijito vya maji, 2 ambao huzaa matunda kwa majira yake 1 na majani yake hayanyauki. 2 Lolote afanyalo hufanikiwa. 1 Huzuni Ya Waovu 1
Psalms 137:1Kando ya mito ya Babeli tuliketi, tukaomboleza 2 tulipokumbuka Sayuni. 1
Isaiah 61:11Kwa maana kama vile ardhi ifanyavyo chipukizi kuota, 2 na bustani isababishavyo mbegu kuota, 1 ndivyo Bwana Mwenyezi atafanya haki na sifa 2 zichipuke mbele ya mataifa yote.
Acts 2:41Wale wote waliopokea ujumbe wa Petro kwa furaha wakabatizwa na siku ile waliongezeka watu wapatao 3,000. 1 Ushirika Wa Waumini
Acts 5:14Hata hivyo, waliomwamini Bwana wakazidi kuongezeka, wanaume na wanawake.