Isaya 61:11
Kwa maana kama vile ardhi ifanyavyo chipukizi kuota, 2 na bustani isababishavyo mbegu kuota, 1 ndivyo Bwana Mwenyezi atafanya haki na sifa 2 zichipuke mbele ya mataifa yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 1:11Kisha Mungu akasema, “Ardhi na itoe mimea: miche itoayo mbegu, miti juu ya nchi itoayo matunda yenye mbegu ndani yake, kila mmea kulingana na aina zake mbalimbali.” Ikawa hivyo.
Psalms 72:16Nafaka ijae tele katika nchi yote, 2 juu ya vilele vya vilima na istawi. 1 Tunda lake na listawi kama Lebanoni, 2 listawi kama majani ya kondeni. 1
Song of Solomon 4:16Amka, upepo wa kaskazini, 2 na uje, upepo wa kusini! 2 Vuma juu ya bustani yangu, 2 ili harufu yake nzuri iweze kuenea mpaka ngʼambo. 1 Mpendwa wangu na aje bustanini mwake 2 na kuonja matunda mazuri sana.
Isaiah 55:10Kama vile mvua na theluji 2 ishukavyo kutoka mbinguni, 1 nayo hairudi tena huko 2 bila kunywesha dunia 1 na kuichipusha na kuistawisha, 2 hivyo hutoa mbegu kwa mpanzi 2 na mkate kwa mlaji, 1
Isaiah 60:18Jeuri hazitasikika tena katika nchi yako, 2 wala maangamizi au uharibifu ndani ya mipaka yako, 1 lakini utaita kuta zako Wokovu, 2 na malango yako Sifa. 1
Isaiah 62:2Mataifa wataona haki yako, 2 nao wafalme wote wataona utukufu wako; 1 wewe utaitwa kwa jina jipya 2 lile ambalo kinywa cha Bwana kitatamka. 1