Isaiah 45:7
Mimi ninaumba nuru na kuhuluku giza, 2 ninaleta mafanikio na kusababisha maafa. 2 Mimi, Bwana, huyatenda haya yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 1:17Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia,
Exodus 14:20ikakaa kati ya majeshi ya Misri na Israeli. Usiku kucha wingu likaleta giza upande mmoja na nuru kwa upande mwingine, kwa hiyo hakuna aliyemkaribia mwenzake usiku kucha.
Job 2:10Akamjibu, “Unazungumza kama vile ambavyo mwanamke mpumbavu + 2:10 Mpumbavu hapa ina maana ya kupungukiwa maadili. yeyote angenena. Je, tupokee mema mikononi mwa Mungu, nasi tusipokee na udhia?” Katika mambo haya yote, Ayubu hakutenda dhambi katika kusema kwake. 1 Marafiki Watatu Wa Ayubu
Job 34:29Lakini kama akinyamaza kimya, 2 ni nani awezaye kumhukumu? 1 Kama akiuficha uso wake, 2 ni nani awezaye kumwona? 1 Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa, 2
Psalms 29:11Bwana huwapa watu wake nguvu; 2 Bwana huwabariki watu wake kwa kuwapa amani.
Psalms 75:7Bali Mungu ndiye ahukumuye: 2 Humshusha huyu na kumkweza mwingine. 1