Isaiah 45:8
“Enyi mbingu juu, nyesheni haki, 2 mawingu na yaidondoshe. 1 Dunia na ifunguke sana, 2 wokovu na uchipuke, 1 haki na ikue pamoja nao. 2 Mimi, Bwana, ndiye niliyeiumba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 72:3Milima italeta mafanikio kwa watu, 2 vilima tunda la haki. 1
Psalms 85:9Hakika wokovu wake uko karibu na wale wamchao, 2 ili utukufu wake udumu katika nchi yetu. 1
Isaiah 4:2Katika siku ile Tawi la Bwana litakuwa zuri na lenye utukufu, nalo tunda la nchi litakuwa fahari na utukufu wa wale Waisraeli watakaonusurika.
Isaiah 32:15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu, 2 nalo jangwa kuwa shamba lenye rutuba, 2 na shamba lenye rutuba kuwa kama msitu. 1
Isaiah 44:24“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mkombozi wako, aliyekuumba tumboni: 1 “Mimi ni Bwana, 1 niliyeumba vitu vyote, 1 niliyezitanda mbingu peke yangu, 1 niliyeitandaza nchi mwenyewe, 1
Isaiah 53:2Alikua mbele yake kama mche mwororo 2 na kama mzizi katika nchi kavu. 1 Hakuwa na uzuri wala utukufu wa kutuvutia kwake, 2 hakuwa na chochote katika sura yake cha kutufanya tumtamani. 1