The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 46 › Isaiah 46:1

Isaiah 46:1

Beli anasujudu hadi nchi, Nebo anainama; 2 sanamu zao zabebwa na wanyama wa mizigo. 1 Vinyago hivi mnavyobeba kila mahali ni mzigo wa kulemea, 2 mzigo kwa waliochoka. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Bel boweth down, Nebo stoopeth, their idols were upon the beasts, and upon the cattle: your carriages were heavy loaden; they are a burden to the weary beast.

In Context

2Vinyago pamoja na wale wanaovibeba wanainama chini; 2 hiyo miungu haiwezi kuwaokoa watu, 2 wote wanakwenda utumwani pamoja. 1

Read all of Isaiah 46

Cross References

Exodus 12:12“Usiku huo huo nitapita katika nchi yote ya Misri na kumuua kila mzaliwa wa kwanza, wa wanadamu na wa wanyama, nami nitaihukumu miungu yote ya Misri. Mimi ndimi Bwana.

Job 39:11Je, utamtumainia kwa ajili ya nguvu zake nyingi? 2 Utamwachia yeye kazi zako nzito? 1

Isaiah 21:9Tazama, yuaja mtu anayepanda gari la vita 2 pamoja na kundi la farasi. 1 Naye anajibu: 2 ‘Babeli umeanguka, umeanguka! 1 Vinyago vyote vya miungu yake 2 vimelala chini vikiwa vimevunjwa!’ ” 1

Jeremiah 10:5Sanamu zao ni kama sanamu 2 iliyowekwa shambani la matango kutishia ndege 2 nazo haziwezi kuongea; 1 sharti zibebwe 2 sababu haziwezi kutembea. 1 Usiziogope; haziwezi kudhuru, 2 wala kutenda lolote jema.” 1

Jeremiah 48:7Kwa kuwa mmetumainia matendo yenu na mali zenu, 2 ninyi pia mtachukuliwa mateka, 1 naye Kemoshi + 48:7 Kemoshi alikuwa mungu wa Wamoabu. atakwenda uhamishoni, 2 pamoja na makuhani wake na maafisa wake. 1

Jeremiah 51:44Nitamwadhibu Beli katika Babeli, 2 na kumfanya atapike kile alichokimeza. 1 Mataifa hayatamiminika tena kwake. 2 Nao ukuta wa Babeli utaanguka. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 46:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
Isaiah 46Isaiah 46:2 →