Isaiah 46:2
Vinyago pamoja na wale wanaovibeba wanainama chini; 2 hiyo miungu haiwezi kuwaokoa watu, 2 wote wanakwenda utumwani pamoja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 18:17Wale watu watano waliokwenda kupeleleza nchi wakaingia ndani na kuchukua ile sanamu ya kuchonga, ile naivera, na zile sanamu nyingine ndogo za nyumbani pamoja na ile sanamu ya kusubu, wakati yule kuhani akiwa amesimama pale penye ingilio la lango pamoja na wale watu 600 waliokuwa wamejifunga silaha za vita.
2 Samuel 5:21Wafilisti wakaiacha miungu yao huko, naye Daudi na watu wake wakaichukua.
Isaiah 37:12Je, miungu ya mataifa ambayo yaliangamizwa na baba zangu iliweza kuwaokoa? Yaani miungu ya Gozani, Harani, Resefu, na ya watu wa Edeni waliokuwa Telasari?
Isaiah 44:17Mabaki yake hutengeneza mungu, sanamu yake; 2 yeye huisujudia na kuiabudu. 1 Huiomba na kusema, 2 “Niokoe; wewe ni mungu wangu.” 1
Jeremiah 43:12Atachoma moto mahekalu yao ya miungu ya Misri, atachoma mahekalu yao na kuteka miungu yao. Kama vile mchungaji ajizungushiavyo vazi lake ndivyo atakavyojizungushia Misri na kuondoka mahali hapo bila kudhurika.
Hosea 10:5Watu wanaoishi Samaria huogopa 2 kwa ajili ya sanamu ya ndama ya Beth-Aveni. + 10:5 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1 Watu wake wataiombolezea, 2 vivyo hivyo kuhani wake wa kuabudu sanamu, 1 wale waliokuwa wamefurahia fahari yake, 2 kwa sababu itaondolewa kutoka kwao 2 kwenda uhamishoni. 1