The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 47 › Isaya 47:11

Isaya 47:11

Maafa yatakujia, 2 nawe hutaweza kuyaondoa kwa uaguzi. 1 Janga litakuangukia, 2 wala hutaweza kulikinga kwa fidia; 1 msiba mkuu usioweza kuutabiri 2 utakujia ghafula. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore shall evil come upon thee; thou shalt not know from whence it riseth: and mischief shall fall upon thee; thou shalt not be able to put if off: and desolation shall come upon thee suddenly, which thou shalt not know.

In Context

10Umeutegemea uovu wako, 2 nawe umesema, ‘Hakuna yeyote anionaye.’ 1 Hekima yako na maarifa yako vinakupoteza 2 unapojiambia mwenyewe, 2 ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu.’ 1

12“Endelea basi na uaguzi wako, 2 na wingi wa uchawi wako, 2 ambao umeutumikia tangu utoto wako. 1 Labda utafanikiwa, 2 labda unaweza ukasababisha hofu kuu. 1

Read all of Isaya 47

Cross References

Nehemiah 4:11Pia adui zetu walisema, “Kabla hawajajua au kutuona, tutakuwa palepale katikati yao, na tutawaua na kuikomesha hiyo kazi.”

Isaiah 37:36Ndipo malaika wa Bwana akaenda, akawaua wanajeshi 185,000 katika kambi ya Waashuru. Wenzao walipoamka asubuhi yake, walikuta maiti kila mahali!

Daniel 5:25“Haya ndiyo maneno yaliyoandikwa: mene, mene, tekeli na peresi

Matthew 18:34Kwa hasira, yule bwana wake akamtia yule mtumishi mikononi mwa askari wa gereza ili ateswe mpaka atakapolipa yote aliyokuwa anadaiwa.

1 Thessalonians 5:3Wakati watu wanaposema, “Kuna amani na salama,” maangamizi huwajia ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwanamke mwenye mimba; nao hakika hawatatoroka.

Revelation 18:9“Wafalme wa dunia waliozini naye na kushiriki anasa zake watakapoona moshi wa kuungua kwake, watamlilia na kumwombolezea.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 47:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 47:10Isaya 47Isaya 47:12 →