Isaiah 47:10
Umeutegemea uovu wako, 2 nawe umesema, ‘Hakuna yeyote anionaye.’ 1 Hekima yako na maarifa yako vinakupoteza 2 unapojiambia mwenyewe, 2 ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu.’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 22:13Hivyo wewe wasema, ‘Mungu anajua nini?’ 2 Je, yeye huhukumu katika giza kama hilo? 1
Psalms 52:7“Huyu ni yule mtu ambaye 2 hakumfanya Mungu kuwa ngome yake, 1 bali alitumainia wingi wa utajiri wake, 2 na akawa hodari kwa kuwaangamiza wengine!” 1 Neema Ya Mungu 1
Psalms 64:5Kila mmoja humtia moyo mwenzake 2 katika mipango mibaya; 1 huzungumza juu ya kuficha mitego yao, 2 nao husema, “Ni nani ataiona?” 1
Ecclesiastes 8:8Hakuna mwanadamu 2 awezaye kushikilia roho yake asife, 1 wala hakuna mwenye uwezo 2 juu ya siku ya kufa kwake. 1 Kama vile hakuna yeyote arudishwaye nyuma wakati wa vita, 2 kadhalika uovu hautawaweka huru wale wautendao.
Isaiah 28:15Ninyi mnajisifu, “Tumefanya agano na mauti, 2 tumefanya mapatano na kuzimu. 1 Wakati pigo lifurikalo litakapopita, 2 haliwezi kutugusa sisi, 1 kwa kuwa tumefanya uongo kuwa kimbilio letu 2 na miungu ya uongo kuwa mahali petu pa kujificha.”
Isaiah 44:20Hujilisha kwa majivu, moyo uliodanganyika humpotosha; 2 hawezi kujiokoa mwenyewe, au kusema, 2 “Je, kitu hiki kilichoko katika mkono wangu wa kuume si ni uongo?” 1