Isaiah 48:10
Tazama, nimekusafisha, ingawa si kama fedha, 2 nimekujaribu katika tanuru ya mateso. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, I have refined thee, but not with silver; I have chosen thee in the furnace of affliction.
In Context
Cross References
1 Kings 8:51kwa maana ni watu wako na urithi wako, uliowatoa Misri, kutoka kwenye lile tanuru la kuyeyushia chuma.
Job 28:1“Kuna machimbo ya fedha, 2 na mahali dhahabu isafishwapo. 1
Proverbs 17:3Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru ni kwa ajili ya dhahabu, 2 bali Bwana huujaribu moyo. 1
Jeremiah 9:7Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Tazama, nitawasafisha na kuwajaribu, 2 kwani ni nini kingine niwezacho kufanya 2 kwa sababu ya dhambi ya watu wangu? 1
Ezekiel 22:18“Mwanadamu, nyumba ya Israeli imekuwa kwangu takataka ya chuma, wote kwangu wamekuwa shaba, bati, chuma na risasi iliyoachwa kalibuni. Wao ni taka ya madini ya fedha tu.
Zechariah 13:9Hii theluthi moja nitaileta katika moto; 2 nitawasafisha kama fedha isafishwavyo 2 na kuwajaribu kama dhahabu. 1 Wataliitia Jina langu 2 nami nitawajibu; 1 nitasema, ‘Hawa ni watu wangu,’ 2 nao watasema, ‘ Bwana ni Mungu wetu.’ ”