Yeremia 9:7
Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Tazama, nitawasafisha na kuwajaribu, 2 kwani ni nini kingine niwezacho kufanya 2 kwa sababu ya dhambi ya watu wangu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Unakaa katikati ya udanganyifu; 2 katika udanganyifu wao wanakataa kunitambua mimi,” 4 asema Bwana.
Cross References
2 Chronicles 36:15Bwana, Mungu wa baba zao, akawapelekea neno kupitia wajumbe wake tena na tena, kwa sababu alikuwa anawahurumia watu wake pamoja na mahali pa maskani yake.
Psalms 62:5Ee nafsi yangu, upumzike, kwa Mungu peke yake, 2 tumaini langu latoka kwake. 1
Isaiah 1:25Nitauelekeza mkono wangu dhidi yenu, 2 nitawasafisha takataka zenu zote 2 na kuwaondolea unajisi wenu wote. 1
Isaiah 59:3Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu 2 na vidole vyenu kwa hatia. 1 Midomo yenu imenena uongo, 2 nazo ndimi zenu zimenongʼona mambo maovu. 1
Jeremiah 6:27“Nimekufanya wewe kuwa kitu cha kujaribu chuma, 2 nao watu wangu kama mawe yenye madini, 2 ili upate kuzijua na kuzijaribu njia zao. 1
Jeremiah 31:20Je, Efraimu si mwanangu mpendwa, 2 mtoto ninayependezwa naye? 1 Ingawa mara kwa mara ninanena dhidi yake, 2 bado ninamkumbuka. 1 Kwa hiyo moyo wangu unamwonea shauku, 2 nina huruma kubwa kwa ajili yake,” 4 asema Bwana. 1