Isaiah 44:7
Ni nani basi aliye kama mimi? Yeye na atangaze. 2 Yeye atangaze na kuweka mbele yangu 1 ni kitu gani kilichotokea tangu nilipoumba watu wangu wa kale, 2 tena ni nini kitakachotokea: 2 naam, yeye na atoe unabii ni nini kitakachokuja. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:8Aliye Juu Sana alipowapa mataifa urithi wao, 2 alipogawanya wanadamu wote, 1 aliweka mipaka kwa ajili ya mataifa 2 sawasawa na hesabu ya wana wa Israeli. 1
Isaiah 41:4Ni nani aliyefanya jambo hili na kulitimiliza, 2 akiita vizazi tangu mwanzo? 1 Mimi, Bwana, ni wa kwanza 2 nami nitakuwa pamoja na wa mwisho: 2 mimi Bwana ndiye.” 1
Isaiah 41:26Ni nani aliyenena hili tokea mwanzoni, ili tupate kujua, 2 au kabla, ili tuweze kusema, ‘Alikuwa sawa’? 1 Hakuna aliyenena hili, 2 hakuna aliyetangulia kusema hili, 2 hakuna yeyote aliyesikia maneno kutoka kwenu. 1
Isaiah 43:12Nimedhihirisha, kuokoa na kutangaza: 2 Mimi, wala si mungu mgeni katikati yenu. 1 Ninyi ni mashahidi wangu,” asema Bwana, 2 “kwamba Mimi ndimi Mungu. 2
Isaiah 46:9Kumbukeni mambo yaliyopita, yale ya zamani za kale; 2 mimi ndimi Mungu, wala hakuna mwingine; 1 mimi ndimi Mungu, 2 wala hakuna mwingine aliye kama mimi. 1
Acts 17:26Kutoka kwa mtu mmoja, yeye aliumba mataifa yote ya wanadamu ili waikalie dunia yote, naye akaweka nyakati za kuishi.