Isaiah 5:10
Shamba la mizabibu la eka kumi 2 litatoa bathi + 5:10 Bathi moja ni sawa na lita 22. moja ya divai, 1 na homeri + 5:10 Homeri moja ni sawa na lita 220. ya mbegu zilizopandwa 2 itatoa efa + 5:10 Efa moja ni sawa na lita 22. moja tu ya nafaka.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yea, ten acres of vineyard shall yield one bath, and the seed of an homer shall yield an ephah.
In Context
Cross References
Exodus 37:22Matovu na matawi yote yalikuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakiwa yamefuliwa kwa dhahabu safi.
Leviticus 27:16“ ‘Kama mtu anaweka sehemu ya ardhi ya jamaa yake wakfu kwa Bwana, thamani yake itawekwa kulingana na kiasi cha mbegu inayohitajiwa kupandwa katika ardhi hiyo, yaani homeri + 27:16 Homeri moja ni sawa na efa 10, ambazo ni sawa na kilo 100. moja ya mbegu za shayiri kwa shekeli hamsini za fedha.
Joel 1:17Mbegu zinakauka 2 chini ya mabonge ya udongo. 1 Ghala zimeachwa katika uharibifu, 2 ghala za nafaka zimebomolewa, 2 kwa maana hakuna nafaka. 1
Haggai 1:9“Mlitarajia mengi, kumbe, yametokea kidogo. Ulichokileta nyumbani nilikipeperusha. Kwa nini?” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. “Ni kwa sababu ya nyumba yangu, inayobaki katika hali ya magofu, wakati kila mmoja wenu anajishughulisha na nyumba yake mwenyewe.