Isaiah 5:9
Bwana Mwenye Nguvu Zote amesema nikisikia: 2 “Hakika nyumba kubwa zitakuwa ukiwa, 2 nayo majumba ya fahari yatabaki bila kukaliwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 36:21Nchi ikaendelea kufurahia pumziko lake la Sabato, wakati wote wa kufanywa kwake ukiwa ilipumzika mpaka ile miaka sabini ilipotimia katika kutimiza neno la Bwana lililonenwa na Yeremia. 1 Koreshi Atangaza Uhuru Kwa Waliokuwa Uhamishoni (Ezra 1:1-4)
Proverbs 15:27Mtu mwenye tamaa huletea jamaa yake taabu, 2 bali yeye achukiaye rushwa ataishi. 1
Isaiah 6:11Ndipo nikasema, “Hadi lini, Ee Bwana?” Naye akanijibu: 1 “Hadi miji iwe imeachwa magofu 2 na bila wakazi, 1 hadi nyumba zitakapobaki bila watu, 2 na mashamba yatakapoharibiwa na kuangamizwa, 1
Isaiah 27:10Mji ulio na boma umebaki ukiwa, 2 makao yaliyotelekezwa, yaliyoachwa kama jangwa. 1 Huko ndama hulisha, 2 huko hujilaza, 2 wanakwanyua matawi yake. 1
Amos 5:11Mnamgandamiza maskini 2 na kumlazimisha awape nafaka. 1 Kwa hiyo, ingawa mmejenga majumba ya mawe ya fahari, 2 hamtaishi ndani yake; 1 ingawa mmepanda mashamba mazuri ya mizabibu, 2 hamtakunywa divai yake. 1
Matthew 22:7Yule mfalme akakasirika sana, akapeleka jeshi lake likawaangamiza wale wauaji na kuuteketeza mji wao kwa moto.