Isaya 5:18
Ole wao wanaovuta dhambi kwa kamba za udanganyifu 2 na uovu kama kwa kamba za mkokoteni, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Woe unto them that draw iniquity with cords of vanity, and sin as it were with a cart rope:
In Context
Cross References
Judges 17:5Basi Mika alikuwa na mahali pa kuabudia miungu, akatengeneza naivera, pamoja na vinyago, na kumweka mmoja wa wanawe kuwa kuhani wake.
2 Samuel 16:20Absalomu akamwambia Ahithofeli, “Tupe shauri lako. Tufanye nini?”
Psalms 14:1Mpumbavu anasema moyoni mwake, 2 “Hakuna Mungu.” 1 Wameharibika, matendo yao ni maovu kabisa; 2 hakuna hata mmoja atendaye mema. 1
Psalms 94:5Ee Bwana, wanawaponda watu wako, 2 wanawaonea urithi wako. 1
Isaiah 28:15Ninyi mnajisifu, “Tumefanya agano na mauti, 2 tumefanya mapatano na kuzimu. 1 Wakati pigo lifurikalo litakapopita, 2 haliwezi kutugusa sisi, 1 kwa kuwa tumefanya uongo kuwa kimbilio letu 2 na miungu ya uongo kuwa mahali petu pa kujificha.”
Jeremiah 5:31Manabii wanatabiri uongo, 2 makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, 1 nao watu wangu wanapenda hivyo. 2 Lakini mtafanya nini mwisho wake?