Isaiah 18:3
Enyi mataifa yote ya ulimwengu, 2 ninyi mnaoishi duniani 1 wakati bendera itakapoinuliwa milimani, 2 mtaiona, 1 nayo tarumbeta itakapolia, 2 mtaisikia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 50:1Mwenye Nguvu, Mungu, Bwana, 2 asema na kuiita dunia, 1 tangu mawio ya jua 2 hadi mahali pake liendapo kutua. 1
Isaiah 5:26Yeye anainua bendera kwa ajili ya mataifa yaliyo mbali, 2 anapiga filimbi kwa ajili ya wale walio kwenye miisho ya dunia. 1 Tazama wamekuja, 2 kwa kasi na kwa haraka! 1
Isaiah 11:12Atainua bendera kwa mataifa 2 na kuwakusanya Waisraeli walioko uhamishoni; 1 atawakusanya watu wa Yuda waliotawanyika 2 kutoka pembe nne za dunia. 1
Isaiah 13:4Sikilizeni kelele juu ya milima, 2 kama ile ya umati mkubwa wa watu! 1 Sikilizeni, makelele katikati ya falme, 2 kama mataifa yanayokusanyika pamoja! 1 Bwana Mwenye Nguvu Zote anakusanya 2 jeshi kwa ajili ya vita. 1
Jeremiah 22:29Ee nchi, nchi, nchi, 2 sikia neno la Bwana! 1
Micah 6:2Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya Bwana, 2 sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia. 1 Kwa kuwa Bwana ana shauri dhidi ya watu wake; 2 anatoa mashtaka dhidi ya Israeli. 1