Isaya 5:27
Hakuna hata mmoja wao anayechoka wala kujikwaa, 2 hakuna hata mmoja anayesinzia wala kulala, 1 hakuna mkanda uliolegezwa kiunoni, 2 hakuna gidamu ya kiatu iliyokatika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 2:5“Sasa wewe mwenyewe unafahamu lile Yoabu mwana wa Seruya alilonitendea, lile alilofanya kwa majemadari wawili wa majeshi ya Israeli, Abneri mwana wa Neri, na Amasa mwana wa Yetheri. Aliwaua, akimwaga damu yao wakati wa amani kama vile ni kwenye vita, tena akaipaka damu ile kwenye mkanda uliokuwa kiunoni mwake na viatu alivyovaa miguuni mwake.
Job 12:21Huwamwagia dharau wanaoheshimika, 2 na kuwavua silaha wenye nguvu. 1
Psalms 93:1Bwana anatawala, amejivika utukufu; 2 Bwana amejivika utukufu 2 tena amejivika nguvu. 1 Dunia imewekwa imara, 2 haitaondoshwa. 1
Isaiah 45:1“Hili ndilo asemalo Bwana kwa mpakwa mafuta wake, 2 Koreshi, ambaye nimemshika mkono wake wa kuume 1 kutiisha mataifa mbele yake 2 na kuwavua wafalme silaha zao, 1 kufungua milango mbele yake 2 ili malango yasije yakafungwa: 1
Daniel 5:6Uso wa mfalme ukageuka rangi, naye akaogopa sana, kiasi kwamba magoti yake yaligongana na miguu yake ikalegea.
Ephesians 6:13Kwa hiyo vaeni silaha zote za Mungu ili mweze kushindana siku ya uovu itakapokuja nanyi mkiisha kufanya yote, simameni imara.