The Bible Software
bible.softwareJobJob 12 › Job 12:21

Job 12:21

Huwamwagia dharau wanaoheshimika, 2 na kuwavua silaha wenye nguvu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He poureth contempt upon princes, and weakeneth the strength of the mighty.

In Context

20Hunyamazisha midomo ya washauri wanaoaminika, 2 na kuondoa busara ya wazee. 1

22Hufunua mambo ya ndani ya gizani, 2 na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana. 1

Read all of Job 12

Cross References

Exodus 8:2Kama ukikataa kuwaruhusu kuondoka, basi nitaipiga nchi yako yote kwa kuwaletea vyura.

1 Kings 21:23“Pia kwa habari ya Yezebeli Bwana anasema, ‘Mbwa watamla Yezebeli karibu na ukuta wa Yezreeli.’

2 Kings 9:34Yehu akaingia ndani, akala na akanywa. Akasema, “Mshughulikieni huyo mwanamke aliyelaaniwa. Mzikeni, kwa sababu alikuwa binti wa mfalme.”

Job 30:11Sasa kwa kuwa Mungu ameilegeza kamba ya upinde wangu na kunitesa, 2 wamekuwa huru kunitendea waonavyo. 1

Isaiah 5:27Hakuna hata mmoja wao anayechoka wala kujikwaa, 2 hakuna hata mmoja anayesinzia wala kulala, 1 hakuna mkanda uliolegezwa kiunoni, 2 hakuna gidamu ya kiatu iliyokatika. 1

Isaiah 22:21Nitamvika joho lako, nami nitamfunga mshipi wako kiunoni mwake, na kumkabidhi mamlaka yako. Yeye atakuwa baba kwa wale wanaoishi Yerusalemu na kwa nyumba ya Yuda.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 12:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 12:20Job 12Job 12:22 →