The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 5 › Isaiah 5:3

Isaiah 5:3

“Basi enyi wakazi wa Yerusalemu na watu wa Yuda, 2 hukumuni kati yangu na shamba langu la mizabibu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And now, O inhabitants of Jerusalem, and men of Judah, judge, I pray you, betwixt me and my vineyard.

In Context

2Alililima na kuondoa mawe 2 na akaliotesha mizabibu bora sana. 1 Akajenga mnara wa ulinzi ndani yake, 2 na kutengeneza shinikizo la kukamulia divai pia. 1 Kisha akatazamia kupata mazao ya zabibu nzuri, 2 lakini lilizaa matunda mabaya tu. 1

4Ni nini zaidi ambacho kingeweza kufanyika kwa shamba langu la mizabibu 2 kuliko yale niliyofanya? 1 Nilipotazamia kupata zabibu nzuri, 2 kwa nini lilizaa zabibu mbaya tu? 1

Read all of Isaiah 5

Cross References

Psalms 51:4Dhidi yako, wewe peke yako, nimetenda dhambi 2 na kufanya yaliyo mabaya machoni pako, 1 ili uthibitike kuwa wa kweli unenapo, 2 na kuwa na haki utoapo hukumu. 1

Micah 6:2Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya Bwana, 2 sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia. 1 Kwa kuwa Bwana ana shauri dhidi ya watu wake; 2 anatoa mashtaka dhidi ya Israeli. 1

Mark 12:9“Sasa basi yule mwenye shamba atafanya nini? Atakuja na kuwaua hao wapangaji, kisha atawapa wapangaji wengine hilo shamba la mizabibu.

Romans 2:5Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 5:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 5:2Isaiah 5Isaiah 5:4 →