Amos 8:9
“Katika siku ile,” asema Bwana Mwenyezi, 1 “Nitalifanya jua litue alasiri na kuifanya dunia 2 iwe giza wakati wa mchana mwangavu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 5:14Giza huwapata wakati wa mchana; 2 wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku. 1
Isaiah 29:9Duwaeni na kushangaa, 2 jifanyeni vipofu wenyewe na msione, 1 leweni, lakini si kwa mvinyo, 2 pepesukeni lakini si kwa kileo. 1
Jeremiah 13:16Mpeni utukufu Bwana Mungu wenu, 2 kabla hajaleta giza, 1 kabla miguu yenu haijajikwaa 2 juu ya vilima vitakavyotiwa giza. 1 Mlitarajia nuru, 2 lakini ataifanya kuwa giza nene 2 na kuibadili kuwa huzuni kubwa. 1
Amos 4:13Yeye ambaye hufanya milima, anaumba upepo, 2 na kufunua mawazo yake kwa mwanadamu, 1 yeye ageuzaye asubuhi kuwa giza, 2 na kukanyaga mahali pa juu pa nchi: 2 Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.
Micah 3:6Kwa hiyo usiku utawajieni, msiweze kuwa na maono, 2 na giza, msiweze kubashiri. 1 Jua litawachwea manabii hao, 2 nao mchana utakuwa giza kwao. 1
Matthew 27:45Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote.