The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 50 › Isaya 50:11

Isaya 50:11

Lakini sasa, ninyi nyote mnaowasha mioto, 2 na kupeana mienge iwakayo ninyi kwa ninyi, 1 nendeni, tembeeni katika nuru ya moto wenu 2 na ya mienge mliyoiwasha. 1 Hili ndilo mtakalolipokea kutoka mkononi mwangu: 2 Mtalala chini kwa mateso makali.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Behold, all ye that kindle a fire, that compass yourselves about with sparks: walk in the light of your fire, and in the sparks that ye have kindled. This shall ye have of mine hand; ye shall lie down in sorrow.

In Context

10Ni nani miongoni mwenu amchaye Bwana, 2 na kulitii neno la mtumishi wake? 1 Yeye atembeaye gizani, 2 yeye asiye na nuru, 1 na alitumainie jina la Bwana, 2 na amtegemee Mungu wake. 1

Read all of Isaya 50

Cross References

Exodus 11:9Bwana alikuwa amemwambia Mose, “Farao atakataa kukusikiliza, ili maajabu yangu yapate kuongezeka katika nchi ya Misri.”

Psalms 20:7Wengine wanatumaini magari ya vita, na wengine farasi, 2 bali sisi tutalitumainia jina la Bwana, Mungu wetu. 1

Proverbs 26:18Kama mtu mwendawazimu 2 atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha, 1

Isaiah 28:15Ninyi mnajisifu, “Tumefanya agano na mauti, 2 tumefanya mapatano na kuzimu. 1 Wakati pigo lifurikalo litakapopita, 2 haliwezi kutugusa sisi, 1 kwa kuwa tumefanya uongo kuwa kimbilio letu 2 na miungu ya uongo kuwa mahali petu pa kujificha.”

Isaiah 55:2Kwa nini kutumia fedha kwa kitu ambacho si chakula, 2 na kutaabikia kitu kisichoshibisha? 1 Sikilizeni, nisikilizeni mimi na mle kilicho kizuri, 2 nazo nafsi zenu zitafurahia utajiri wa unono. 1

Isaiah 65:14Watumishi wangu wataimba 2 kwa furaha ya mioyo yao, 1 lakini ninyi mtalia 2 kutokana na uchungu wa moyoni, 1 na kupiga yowe kwa sababu 2 ya uchungu wa roho zenu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 50:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 50:10Isaya 50