Isaya 50:9
Ni Bwana Mwenyezi anisaidiaye mimi. 2 Ni nani huyo atakayenihukumu? 1 Wote watachakaa kama vazi, 2 nondo watawala wawamalize. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 13:28“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, 2 kama vazi lililoliwa na nondo.
Psalms 54:6Nitakutolea dhabihu za hiari; 2 Ee Bwana, nitalisifu jina lako 2 kwa kuwa ni vyema. 1
Isaiah 41:10Hivyo usiogope, kwa maana niko pamoja nawe; 2 usifadhaike, kwa maana mimi ni Mungu wako. 1 Nitakutia nguvu na kukusaidia; 2 nitakutegemeza kwa mkono wa kuume wa haki yangu. 1
Isaiah 51:8Kwa maana nondo atawala kama vazi, 2 nao funza atawatafuna kama sufu. 1 Lakini haki yangu itadumu milele, 2 wokovu wangu kwa vizazi vyote.” 1