Job 13:28
“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, 2 kama vazi lililoliwa na nondo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he, as a rotten thing, consumeth, as a garment that is moth eaten.
In Context
Cross References
Numbers 12:12Usimwache awe kama mtoto mchanga aliyezaliwa akiwa mfu, ambaye nusu ya mwili wake imeharibika hapo atokapo katika tumbo la mama yake.”
Job 7:5Mwili wangu umevikwa mabuu na uchafu, 2 ngozi yangu imetumbuka na kutunga usaha. 1 Ayubu Anamlilia Mungu 1
Job 30:29Nimekuwa ndugu wa mbweha, 2 rafiki wa mabundi. 1
Psalms 39:12“Ee Bwana, usikie maombi yangu, 2 usikie kilio changu unisaidie, 2 usiwe kiziwi kwa kulia kwangu. 1 Kwani mimi ninaishi na wewe kama mgeni, 2 kama walivyokuwa baba zangu wote, 1