The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 54 › Isaya 54:17

Isaya 54:17

Hakuna silaha itakayofanyizwa dhidi yako 2 itakayofanikiwa, 1 nawe utauthibitisha kuwa mwongo 2 kila ulimi utakaokushtaki. 1 Huu ndio urithi wa watumishi wa Bwana 2 na hii ndiyo haki yao itokayo kwangu,” 4 asema Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

No weapon that is formed against thee shall prosper; and every tongue that shall rise against thee in judgment thou shalt condemn. This is the heritage of the servants of the LORD, and their righteousness is of me, saith the LORD.

In Context

16“Tazama, ni mimi niliyemuumba mhunzi, 2 yeye afukutaye makaa kuwa moto, 2 na kutengeneza silaha inayofaa kwa kazi yake. 1 Tena ni mimi niliyemwambia mharabu 2 kufanya uharibifu mwingi. 1

Read all of Isaya 54

Cross References

Job 1:11Lakini nyoosha mkono wako na kupiga kila kitu alicho nacho, naye kwa hakika atakulaani mbele za uso wako.”

Job 22:5Je, uovu wako si mkuu? 2 Dhambi zako si hazina mwisho? 1

Psalms 2:1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, 2 na kabila za watu kula njama bure? 1

Psalms 61:5Ee Mungu, kwa kuwa umesikia nadhiri zangu, 2 umenipa urithi wa wale wanaoliogopa jina lako. 1

Psalms 71:19Ee Mungu, haki yako imefika juu katika mbingu, 2 wewe ambaye umefanya mambo makuu. 2 Ee Mungu, ni nani aliye kama wewe? 1

Isaiah 41:11“Wote walioona hasira dhidi yako 2 hakika wataaibika na kutahayarika, 1 wale wakupingao 2 watakuwa kama vile si kitu, na kuangamia. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 54:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 54:16Isaya 54