The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 54 › Isaya 54:4

Isaya 54:4

“Usiogope, wewe hutaaibika. 2 Usiogope aibu, wewe hutaaibishwa. 1 Wewe utasahau aibu ya ujana wako, 2 wala hutakumbuka tena mashutumu ya ujane wako. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Fear not; for thou shalt not be ashamed: neither be thou confounded; for thou shalt not be put to shame: for thou shalt forget the shame of thy youth, and shalt not remember the reproach of thy widowhood any more.

In Context

3Kwa maana utaenea upande wa kuume 2 na upande wa kushoto; 1 wazao wako watayamiliki mataifa 2 na kukaa katika miji yao iliyoachwa ukiwa. 1

5Kwa maana Muumba wako ndiye mume wako, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake, 1 yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli ni Mkombozi wako, 2 yeye anaitwa Mungu wa dunia yote. 1

Read all of Isaya 54

Cross References

Job 11:16Hakika utaisahau taabu yako, 2 utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita. 1

Isaiah 29:22Kwa hiyo hili ndilo Bwana, aliyemkomboa Abrahamu, analosema kwa nyumba ya Yakobo: 1 “Yakobo hataaibishwa tena, 2 wala nyuso zao hazitabadilika sura tena. 1

Isaiah 41:14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu, 2 ee Israeli uliye mdogo, 1 kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,” asema Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1

Isaiah 51:7“Nisikieni, ninyi mnaojua lililo sawa, 2 ninyi watu ambao mna sheria yangu mioyoni mwenu: 1 Msiogope mashutumu ya wanadamu 2 wala msitiwe hofu na matukano yao. 1

Isaiah 65:16Yeye aombaye baraka katika nchi 2 atafanya hivyo kwa Mungu wa kweli; 1 yeye aapaye katika nchi 2 ataapa kwa Mungu wa kweli. 1 Kwa kuwa taabu za zamani zitasahaulika 2 na kufichwa kutoka machoni pangu. 1 Mbingu Mpya Na Dunia Mpya 1

Ezekiel 16:22Katika matendo yako yote ya machukizo, pamoja na ukahaba wako hukukumbuka siku za ujana wako, wakati ulipokuwa uchi kabisa bila kitu chochote, ulipokuwa ukigaagaa kwenye damu yako.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 54:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 54:3Isaya 54Isaya 54:5 →