The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 55 › Isaya 55:11

Isaya 55:11

ndivyo lilivyo neno langu lile litokalo kinywani mwangu: 2 Halitanirudia tupu, 1 bali litatimiliza lile nililokusudia 2 na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

So shall my word be that goeth forth out of my mouth: it shall not return unto me void, but it shall accomplish that which I please, and it shall prosper in the thing whereto I sent it.

In Context

10Kama vile mvua na theluji 2 ishukavyo kutoka mbinguni, 1 nayo hairudi tena huko 2 bila kunywesha dunia 1 na kuichipusha na kuistawisha, 2 hivyo hutoa mbegu kwa mpanzi 2 na mkate kwa mlaji, 1

12Mtatoka nje kwa furaha 2 na kuongozwa kwa amani; 1 milima na vilima 2 vitapaza sauti kwa nyimbo mbele yenu, 1 nayo miti yote ya shambani 2 itapiga makofi. 1

Read all of Isaya 55

Cross References

1 Samuel 3:19Bwana alikuwa pamoja na Samweli alipokuwa akikua, na hakuacha hata moja ya maneno yake lianguke chini.

Isaiah 45:23Nimeapa kwa nafsi yangu, 2 kinywa changu kimenena katika uadilifu wote 2 neno ambalo halitatanguka: 1 Kila goti litapigwa mbele zangu, 2 kwangu mimi kila ulimi utaapa. 1

Isaiah 54:9“Kwangu mimi jambo hili ni kama siku za Noa, 2 nilipoapa kuwa maji ya Noa kamwe hayatafunika tena dunia. 1 Hivyo sasa nimeapa sitawakasirikia ninyi, 2 kamwe sitawakemea tena. 1

Jeremiah 1:12Bwana akaniambia, “Umeona vyema kwa maana ninaliangalia neno langu ili kuona kwamba limetimizwa.”

Jeremiah 25:13Nitaleta juu ya nchi hiyo mambo yote niliyosema dhidi yake, yote yaliyoandikwa katika kitabu hiki, na kutolewa unabii na Yeremia dhidi ya mataifa yote.

Matthew 24:35Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 1 Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa (Marko 13:32-37; Luka 17:26-30, 34-36)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 55:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 55:10Isaya 55Isaya 55:12 →