bible.software › Isaya › Isaya 55 › Isaya 55:12
Isaya 55:12
Mtatoka nje kwa furaha 2 na kuongozwa kwa amani; 1 milima na vilima 2 vitapaza sauti kwa nyimbo mbele yenu, 1 nayo miti yote ya shambani 2 itapiga makofi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For ye shall go out with joy, and be led forth with peace: the mountains and the hills shall break forth before you into singing, and all the trees of the field shall clap their hands.
In Context
11ndivyo lilivyo neno langu lile litokalo kinywani mwangu: 2 Halitanirudia tupu, 1 bali litatimiliza lile nililokusudia 2 na litafanikiwa katika kusudi lile nililolituma. 1
13Badala ya kichaka cha miiba 2 itaota miti ya misunobari, 1 na badala ya michongoma 2 utaota mhadasi. + 55:13 Mhadasi ni aina ya mti ambao huota milimani karibu na Yerusalemu, hutoa harufu nzuri itumikayo kutengeneza manukato; kwa Kiebrania ni “hadas”, na ilikuwa inatumika kujenga vibanda wakati wa Sikukuu ya Vibanda (ona pia Neh 8:15 ). 1 Hili litakuwa jambo la kumpatia Bwana jina, 2 kwa ajili ya ishara ya milele, 2 ambayo haitaharibiwa.”
Read all of Isaya 55
Cross References
Psalms 47:1Pigeni makofi, enyi mataifa yote, 2 mpigieni Mungu kelele za shangwe! 1
Psalms 96:11Mbingu na zishangilie, nchi na ifurahi; 2 bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake; 1
Psalms 98:7Bahari na ivume na kila kiliomo ndani yake, 2 dunia na wote wakaao ndani yake. 1
Psalms 148:4Msifuni yeye, enyi mbingu zilizo juu sana, 2 na ninyi maji juu ya anga. 1
Isaiah 35:1Jangwa na nchi kame vitafurahi; 2 nyika itashangilia na kuchanua maua. 1 Kama waridi,
Isaiah 35:10waliokombolewa na Bwana watarudi. 1 Wataingia Sayuni wakiimba; 2 furaha ya milele itakuwa juu ya vichwa vyao. 1 Watapata furaha na shangwe; 2 huzuni na majonzi vitakimbia.
This Verse In Other Editions
Study Isaya 55:12