The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 55 › Isaiah 55:13

Isaiah 55:13

Badala ya kichaka cha miiba 2 itaota miti ya misunobari, 1 na badala ya michongoma 2 utaota mhadasi. + 55:13 Mhadasi ni aina ya mti ambao huota milimani karibu na Yerusalemu, hutoa harufu nzuri itumikayo kutengeneza manukato; kwa Kiebrania ni “hadas”, na ilikuwa inatumika kujenga vibanda wakati wa Sikukuu ya Vibanda (ona pia Neh 8:15 ). 1 Hili litakuwa jambo la kumpatia Bwana jina, 2 kwa ajili ya ishara ya milele, 2 ambayo haitaharibiwa.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Instead of the thorn shall come up the fir tree, and instead of the brier shall come up the myrtle tree: and it shall be to the LORD for a name, for an everlasting sign that shall not be cut off.

In Context

12Mtatoka nje kwa furaha 2 na kuongozwa kwa amani; 1 milima na vilima 2 vitapaza sauti kwa nyimbo mbele yenu, 1 nayo miti yote ya shambani 2 itapiga makofi. 1

Read all of Isaiah 55

Cross References

Isaiah 5:6Nitalifanya nchi ya ukiwa isiyokaliwa na watu, 2 halitakatiwa matawi wala kulimwa, 1 nayo michongoma na miiba itamea huko, 2 nitaamuru mawingu yasinyeshe mvua juu yake.” 1

Isaiah 41:19Katika jangwa nitaotesha 2 mwerezi, mshita, mhadasi na mzeituni. 1 Nitaweka misunobari, mivinje na misanduku 2 pamoja huko nyikani, 1

Isaiah 54:10Ijapotikisika milima, na vilima viondolewe, 2 hata hivyo upendo wangu usiokoma kwenu hautatikisika, 1 wala agano langu la amani halitaondolewa,” 2 asema Bwana, mwenye huruma juu yenu. 1

Isaiah 60:17Badala ya shaba nitakuletea dhahabu, 2 na fedha badala ya chuma. 1 Badala ya mti nitakuletea shaba, 2 na chuma badala ya mawe. 1 Nitafanya amani kuwa mtawala wako, 2 na haki kuwa mfalme wako. 1

Isaiah 61:3na kuwapa mahitaji 2 wale wanaohuzunika katika Sayuni, 1 ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, 2 mafuta ya furaha badala ya maombolezo, 2 vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. 1 Nao wataitwa mialoni ya haki, 2 pando la Bwana, 2 ili kuonyesha utukufu wake. 1

Jeremiah 13:11Kwa maana kama vile mkanda ufungwavyo kiunoni mwa mtu, ndivyo nilivyojifunga nyumba yote ya Israeli na nyumba yote ya Yuda,’ asema Bwana, ‘ili wawe watu wangu kwa ajili ya utukufu wangu, sifa na heshima yangu. Lakini hawajasikiliza.’ 1 Viriba Vya Mvinyo

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 55:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 55:12Isaiah 55