Isaiah 56:2
Amebarikiwa mtu yule atendaye hili, 2 mtu yule alishikaye kwa uthabiti, 1 yeye ashikaye Sabato bila kuinajisi, 2 auzuiaye mkono wake usifanye uovu wowote.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 20:8Ikumbuke siku ya Sabato, uitakase.
Exodus 31:13“Waambie Waisraeli, ‘Ninyi ni lazima mzishike Sabato zangu. Hii itakuwa ni ishara kati yangu na ninyi kwa ajili ya vizazi vijavyo, ili mpate kujua kwamba Mimi Ndimi Bwana, niwafanyaye ninyi watakatifu.
Nehemiah 13:17Niliwakemea wakuu wa Yuda na kuwaambia, “Ni uovu gani huu mnaofanya wa kuinajisi siku ya Sabato?
Psalms 15:1Bwana, ni nani awezaye kukaa 2 katika Hekalu lako? 1 Nani awezaye kuishi 2 katika mlima wako mtakatifu? 1
Psalms 37:27Acha ubaya na utende wema, 2 nawe utaishi katika nchi milele. 1
Psalms 112:1Msifuni Bwana. 1 Heri mtu yule amchaye Bwana, 2 mtu yule apendezwaye sana na amri zake. 1