Isaya 57:10
Ulikuwa umechoshwa na njia zako zote, 2 lakini hukusema, ‘Hakuna tumaini.’ 1 Ulipata uhuisho wa nguvu zako, 2 kwa sababu hiyo hukuzimia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 47:13Ushauri wote uliopokea umekuchosha bure! 2 Wanajimu wako na waje mbele, 1 wale watazama nyota watabiriao mwezi baada ya mwezi, 2 wao na wawaokoe na lile linalokuja juu yenu. 1
Jeremiah 2:36Kwa nini unatangatanga sana, 2 kubadili njia zako? 1 Utakatishwa tamaa na Misri 2 kama ulivyokatishwa na Ashuru. 1
Jeremiah 5:3Ee Bwana, je, macho yako hayaitafuti kweli? 2 Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu, 2 uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo. 1 Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwe 2 nao walikataa kutubu. 1
Jeremiah 18:12Lakini wao watajibu, ‘Hakuna faida. Tutaendelea na mipango yetu wenyewe, kila mmoja wetu atafuata ukaidi wa moyo wake mbaya.’ ”
Ezekiel 24:12Imezuia juhudi zote, 2 ukoko wake mwingi haujaondoka, 2 hata ikiwa ni kwa moto.
Romans 7:9Wakati fulani nilikuwa hai pasipo sheria, lakini amri ilipokuja, dhambi ikawa hai, nami nikafa.