Isaiah 57:4
Mnamdhihaki nani? 2 Ni nani mnayemcheka kwa dharau, 2 na kumtolea ndimi zenu? 2 Je, ninyi si watoto wa waasi, 2 uzao wa waongo? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3“Lakini ninyi: 2 Njooni hapa, ninyi wana wa wachawi, 2 ninyi wazao wa wazinzi na makahaba! 1
Cross References
Exodus 9:17Bado unaendelea kujiinua juu ya watu wangu, wala hutaki kuwaachia waende.
Numbers 16:11Wewe na wafuasi wako wote mmekusanyika pamoja kinyume cha Bwana. Aroni ni nani kwamba ninyi mnungʼunike dhidi yake?”
Judges 16:25Mioyo yao ilipokuwa imefurahishwa wakasema, “Mleteni Samsoni aje acheze ili tufurahi.” Basi wakamleta Samsoni kutoka mle gerezani naye akacheza mbele yao. Wakamweka kati ya nguzo mbili.
Job 16:9Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, 2 na kunisagia meno yake; 2 adui yangu hunikazia macho yake makali. 1
Psalms 22:13Simba wangurumao wanaorarua mawindo 2 yao hupanua vinywa vyao dhidi yangu. 1
Psalms 35:21Hunifumbulia vinywa vyao wakisema, “Aha! Aha! 2 Kwa macho yetu wenyewe tumeliona.” 1