The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 59 › Isaya 59:10

Isaya 59:10

Tunapapasa ukuta kama kipofu, 2 tunapapasa katika njia zetu kama watu wasio na macho. 1 Adhuhuri tunajikwaa kama wakati wa gizagiza; 2 katikati ya wenye nguvu, tuko kama wafu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

We grope for the wall like the blind, and we grope as if we had no eyes: we stumble at noonday as in the night; we are in desolate places as dead men.

In Context

9Hivyo uadilifu uko mbali nasi, 2 nayo haki haitufikii. 1 Tunatazamia nuru, kumbe! Yote ni giza, 2 tunatazamia mwanga, lakini tunatembea katika giza kuu. 1

11Wote tunanguruma kama dubu; 2 tunalia kwa maombolezo kama hua. 1 Tunatafuta haki, kumbe hakuna kabisa; 2 tunatafuta wokovu, lakini uko mbali. 1

Read all of Isaya 59

Cross References

Deuteronomy 28:29Wakati wa adhuhuri utapapasapapasa huku na huko kama mtu kipofu katika giza. Hutafanikiwa katika lolote ufanyalo; siku baada ya siku utaonewa na kunyangʼanywa, wala hakuna yeyote atakayekuokoa.

Proverbs 4:19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; 2 hawajui kinachowafanya wajikwae. 1

Jeremiah 13:16Mpeni utukufu Bwana Mungu wenu, 2 kabla hajaleta giza, 1 kabla miguu yenu haijajikwaa 2 juu ya vilima vitakavyotiwa giza. 1 Mlitarajia nuru, 2 lakini ataifanya kuwa giza nene 2 na kuibadili kuwa huzuni kubwa. 1

Lamentations 4:14Sasa wanapapasa papasa barabarani 2 kama watu ambao ni vipofu. 1 Wamenajisiwa kabisa kwa damu, 2 hata hakuna anayethubutu kugusa mavazi yao. 1

John 11:9Yesu akawajibu, “Si kuna saa kumi na mbili za mchana katika siku moja? Wala watembeao mchana hawawezi kujikwaa kwa maana wanaona nuru ya ulimwengu huu.

John 12:40“Amewafanya vipofu, 2 na kuifanya mioyo yao kuwa migumu, 1 ili wasiweze kuona kwa macho yao, 2 wala kuelewa kwa mioyo yao, 2 wasije wakageuka nami nikawaponya.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 59:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 59:9Isaya 59Isaya 59:11 →