Proverbs 4:19
Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; 2 hawajui kinachowafanya wajikwae. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The way of the wicked is as darkness: they know not at what they stumble.
In Context
20Mwanangu, yasikilize kwa makini yale ninayokuambia; 2 sikiliza kwa makini maneno yangu. 1
Cross References
1 Samuel 2:9Yeye atailinda miguu ya watakatifu wake, 2 lakini waovu watanyamazishwa kwenye giza. 1 “Si kwa nguvu mtu hushinda; 2
Job 12:25Hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga; 2 huwafanya wapepesuke kama walevi.
Job 18:18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani, 2 naye amefukuzwa mbali atoke duniani. 1
Proverbs 2:13wale waachao mapito yaliyonyooka 2 wakatembea katika njia za giza, 1
Isaiah 59:9Hivyo uadilifu uko mbali nasi, 2 nayo haki haitufikii. 1 Tunatazamia nuru, kumbe! Yote ni giza, 2 tunatazamia mwanga, lakini tunatembea katika giza kuu. 1
Jeremiah 13:16Mpeni utukufu Bwana Mungu wenu, 2 kabla hajaleta giza, 1 kabla miguu yenu haijajikwaa 2 juu ya vilima vitakavyotiwa giza. 1 Mlitarajia nuru, 2 lakini ataifanya kuwa giza nene 2 na kuibadili kuwa huzuni kubwa. 1