Isaiah 59:9
Hivyo uadilifu uko mbali nasi, 2 nayo haki haitufikii. 1 Tunatazamia nuru, kumbe! Yote ni giza, 2 tunatazamia mwanga, lakini tunatembea katika giza kuu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 19:8Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita; 2 ameyafunika mapito yangu na giza. 1
Proverbs 4:19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; 2 hawajui kinachowafanya wajikwae. 1
Jeremiah 8:15Tulitegemea amani, 2 lakini hakuna jema lililokuja, 1 tulitegemea wakati wa kupona, 2 lakini kulikuwa hofu tu. 1
Lamentations 3:2Amenifukuzia mbali na kunifanya nitembee 2 gizani wala si katika nuru; 1
Amos 5:18Ole wenu ninyi mnaoitamani 2 siku ya Bwana! 1 Kwa nini mnaitamani siku ya Bwana? 2 Siku hiyo itakuwa giza, si nuru. 1
Habakkuk 1:13Macho yako ni safi mno hata yasiweze kuutazama uovu, 2 wala huwezi kuvumilia makosa. 1 Kwa nini basi unawavumilia wadanganyifu? 2 Kwa nini unakuwa kimya wakati waovu 1 wanawameza wale wenye haki 2 kuliko wao wenyewe? 1