Isaya 59:12
Kwa sababu makosa yetu ni mengi machoni pako, 2 na dhambi zetu zinashuhudia dhidi yetu. 1 Makosa yetu yako pamoja nasi daima, 2 nasi tunayatambua maovu yetu: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezra 9:6Nami nikaomba: “Ee Mungu wangu, natahayari na kuona aibu kukuinulia uso wangu Mungu wangu, kwa sababu dhambi zetu zimejikusanya hata kupita juu ya vichwa vyetu na hatia yetu imefika mbinguni.
Nehemiah 9:33Katika hayo yote yaliyotupata, umekuwa mwenye haki, na umetenda kwa uaminifu, wakati sisi tumetenda mabaya.
Isaiah 3:9Nyuso zao zinavyoonekana zinashuhudia dhidi yao, 2 hujivunia dhambi yao kama Sodoma, 2 wala hawaifichi. 1 Ole wao! 2 Wamejiletea maafa juu yao wenyewe. 1
Jeremiah 3:2“Inua macho utazame miinuko iliyo kame na uone. 2 Je, pana mahali ambapo hawajalala nawe? 1 Uliketi kando ya barabara ukiwasubiri wapenzi, 2 ukakaa kama yeye ahamahamaye jangwani. 1 Umeinajisi nchi 2 kwa ukahaba wako na uovu wako. 1
Jeremiah 5:25Matendo yenu mabaya yamezuia haya yote, 2 dhambi zenu zimewazuia msipate mema. 1
Jeremiah 14:7Ingawa dhambi zetu zinashuhudia juu yetu, 2 Ee Bwana, tenda jambo kwa ajili ya jina lako. 1 Kwa kuwa kukengeuka kwetu ni kukubwa, 2 nasi tumetenda dhambi dhidi yako. 1